Wednesday 4th, February 2026
@Ukumbi wa Halmashauri
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Kishapu limefanya mkutano wa kujadili taarifa za robo ya pili ya mwaka wa fedha 2025/2026. Waheshimiwa Madiwani wamejadili mada mbalimbali za maendeleo na kupokea taarifa za kamati za kudumu.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa