Posted on: July 23rd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe.Peter Masindi akikabidhi hati milki ya kimila kwa wananchi wa Kijiji cha mfano cha Mwadui Lohumbo Kata ya Mwadui Lohumbo Wilayani humo Julai 23,2025 ...
Posted on: July 16th, 2025
Msimamo wa Wilaya ya Kishapu kuhusu umuhimu wa lishe Shuleni umeendelea kuimarika, huku viongozi wakihimiza usimamizi madhubuti wa afua za lishe kama silaha ya kupambana na utoro na kuongeza ufaulu kw...
Posted on: July 8th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Peter Masindi, ametoa wito kwa wananchi waliopokea mbegu zilizobarikiwa katika kilele cha Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma "Sanjo ya Busiya", kuzitumia ...