Posted on: May 16th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga (wa kwanza kulia) akimkabidhi kufuri kiongozi wa Amcos ya Mwasubi Gole Mashine(wa pili kutoka kulia)kufuri la ghala la Bunambiyu watakalolitumia kwa mwak...
Posted on: May 15th, 2025
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kutumia Dola za Marekani milioni 77.4, sawa na Shilingi Bilioni 208.9, kuziwezesha kaya duni 260,000 zinazojishughulisha na kilimo na uvuvi. Mpango...
Posted on: May 14th, 2025
Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeanza rasmi maandalizi ya mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, unaotarajiwa kupokelewa kwa shangwe na nderemo mnamo tarehe 8 Agosti 2025 katika eneo la Maganzo.
...