Posted on: January 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe.Joseph Modest Mkude ameongoza wananchi kufanya Usafi wa Mazingira Kwaajili ya Kujikinga na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Mhunze
...
Posted on: December 17th, 2023
WANAFUNZI 1,092,984 WALIOFAULU DARASA LA 7 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2024: WAZIRI MCHENGERWA.
Abainisha kuwa wanafunzi wote waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwa...
Posted on: December 9th, 2023
Wilaya ya Kishapu imeungana na watanzania wote nchini kusheherekea miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara katika ukumbi wa Mikutano wa Shule ya Sekondari Kishapu maadhimisho haya yameshe...